Sirro avionya vikundi vitakavyofanya vurugu Arusha
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema kuwa wamejipanga kulinda amani katika kipindi zoezi la upigaji kura kwenye uchaguzi Mkuu huku akitaja sababu kwanini wameweka askari wakutosha mkoani Arusha.