Man United imetangaza kupata hasara ya bilioni 211 ikiwa ni athari za Covid-19
Klabu ya Manchester United imetangaza kupata hasara ya pauni milion 70 zaidi ya bilion 211 za kitanzania, katika mapato yake ya mwaka ikiwa ni sehemu ya athari za Covid-19.