Mpenzi wa Duma achezea kichambo kwa watanzania

Msanii wa filam Duma na mpenzi wake Mishi Dorah

Mpenzi wa msanii wa filamu Duma Actor aitwaye Mishi Dorah amesema amechambwa sana na watu kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonyesha kuwa yupo kwenye mahaba mazito na msanii huyo wa filamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS