Serikali yajipanga Tabata Msimbazi
Wakazi wa Mtaa wa Tabata Msimbazi wamelalamikia ubovu wa miundombinu katika mtaa huo jambo ambalo limekua kero kwa wakazi wa mtaa huo na kuhatarisha afya na usalama ya wakazi hao. Akizungumza na Kurasa Mjumbe wa mtaa huo Zamda Alphonce,ameongea kwa niaba ya wananchi na kusema,