Mawakala wanne wa CHADEMA wafariki kwa ajali Gari lililopata ajali Watu wanne ambao ni mawakala wa CHADEMA, wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea leo Oktoba 21, 2020 kijiji cha Malonji, Sumbawanga, mkoani Rukwa. Read more about Mawakala wanne wa CHADEMA wafariki kwa ajali