Katwila anakazi ya kufanya, kipi wafanye Ihefu? Kocha mpya wa Ihefu, Zuberi Katwila akizungumza na Waandishi wa Habari. Kocha wa zamani wa Mtibwa Sugar, Zuberi katwila amejiunga na Ihefu ya jijini Mbeya kwa mkataba wa mwaka mmoja. Read more about Katwila anakazi ya kufanya, kipi wafanye Ihefu?