Hanstone naye aambulia kipigo hadi kuumizwa Msanii wa BongoFleva Hanstone Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hanstone amesema na yeye ni mmoja wa watu ambao walivamiwa na kupigwa hadi kuumizwa kwenye studio za mtayarishaji wa muziki S2Kizzy iliyopo Sinza Lion. Read more about Hanstone naye aambulia kipigo hadi kuumizwa