Mkurugenzi wa Uchaguzi awapa maelekezo wasimamizi Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Wasimamizi wa uchaguzi wameshauriwa kurudia tena kusoma maelekezo yaliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kujikumbusha taratibu zote za mchakato wa uchaguzi. Read more about Mkurugenzi wa Uchaguzi awapa maelekezo wasimamizi