Walioharibu mali za wagombea wa CHADEMA kukiona

Kamanda wa polisi mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe

Polisi mkoa wa Geita, linawasaka watu zaidi ya 10 waliofanya uharibifu wa mali kwenye nyumba 3 tofauti za wagombea Udiwani na Ubunge jimbo la Chato kupitia CHADEMA, waliovamiwa usiku wa kuamkia Oktoba 13, 2020, ambapo walikuwa wanatarajia kumpokea mgombea Urais wa chama hicho, Tundu Lissu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS