Baba asimulia familia yake ilivyoteketea kwa moto

Baba wa familia iliyotekea kwa moto maeneo ya Pugu Stesheni, Edward Jeremiah Katemi.

Familia ya watu watano iliyokuwa ikiishi maeneo ya Pugu Stesheni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Oktoba 14, 2020, huku uchunguzi wa awali ukionyesha kuwa chanzi cha moto huo kikitajwa kuwa ni hitilafu  ya umeme.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS