Aliyemtupa mtoto mtoni na kufariki afanyiwa vipimo

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera, Revocatus Malimi.

Jeshi la polisi mkoa wa Kagera, linatarajia kupeleka kwenye ofisi ya mashtaka jalada la kesi ya mwanamke Herieth Pontian (27), anayetuhumiwa kumtupa mwanaye wa kumzaa mtoni akiwa hai na hatimaye kufariki, mara baada ya uchunguzi huo kukamilika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS