Ben Pol abadilisha dini,ataja jina lake la Kiislam
Msanii wa RnB Bongo Ben Pol ameweza ameshtua wengi baada ya kubadilisha dini na kuhamia kwenye uislam ambapo amepost picha akiwa amevaa kanzu katika msikiti wa Maamur uliopo maeneo ya Upanga Jijini Dar Es Salaam chini ya Imam Mkuu wa msikiti huo Sheikh Issa Othman Issa.