Vijana waomba amani uchaguzi mkuu
Zikiwa zimesalia siku 11 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Octoba 28,2020 baadhi ya Vijana kutoka Vyuo vikuu hapa nchini kwa kushirikiana na baadhi ya vijana wenye vipaji mbalimbali na wengine wa kada tofauti wamepanga kufanya matembezi ya amani katika viwanja vya Tanganyika packers, jumamosi hii.