Bernard Morrison alifikishwa mbele ya kamati ya maadili kwa kosa la kusaini mkataba na klabu ya Simba huku akiwa na kesi ya uhalali wa mkatab wake na Yanga
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), imeshindwa kujadili shauri la mchezaji Bernard Morrison wa Simba SC, baada ya mchezaji huyo kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo.