Tulia amtuliza Sugu, Mbeya Mjini
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Dkt. Tulia Ackson, ametangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha Ubunge katika jimbo la Mbeya mjini, kwa kura 75,225 akiwashinda washindani wake kutoka vyama vingine vya upinzani akiwamo mshindani wake mkuu kisiasa kutoka,