Wananchi wavunja kingo za mfereji Kijitonyama

Pichani wananchi wa mtaa wa chakula Bora wakivunja kingo za mifereji.

Wananchi wa mtaa wa Chakula Bora, Kijitonyama Jijini Dar es Salaam, leo wamevunja kingo za mfereji uliopo katika barabara  ya Salma Kikwete ili kuyaelekeza maji yaliyoingia ndani ya nyumba zao kupita kwenye mfereji huo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS