Rashford aja na kampeni mpya kwa watoto

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Marcus Rashford (Pichani) akionesha makeke yake.

Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford amekuja na kampeni mpya ya kutaka serikali ya Uingereza kuidhinisha ongezeko la bajeti ya huduma ya chakula kwa watoto mashuleni ili kupunguza baa la njaa miongoni mwao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS