Kayuni alia na Serikali kutorejesha hili shuleni
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ufundi wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF, Sunday Kayuni amesema ataendelea kulia na Serikali kwa kutorejesha mitaala ya michezo mashuleni jambo analoamini ninakwamisha maendeleo ya michezo.