Barabara ya Mkwajuni yajaa maji
Wakazi wa eneo la Mkwajuni Kinondoni jijini, Dar es Salaam, wameiomba serikali kujenga daraja katika Barabara hiyo kutokana na adha inayojitokeza wakati wa mvua ambayo hupelekea barabara kufungwa kutokana na kushindwa kupitika kwa urahisi.