Prof. Lipumba aahidi mfumo mzuri wa fedha
Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameahidi kuimarisha biashara katika mkoa wa Tanga, kufufua viwanda vilivyokufa pamoja kutoza kodi rafiki kwa wafanyabiashara ili kuinua uchumi wa nchi.