Mkumbo amuangusha aliyewahi kuwa Meya Ubungo
Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, CCM, Kitila Mkumbo, ameibuka mshindi katika uchaguzi wa jimbo la Ubungo dhidi ya mgombea wa CHADEMA ambaye pia aliwahi kuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.