Wakazi ashindwa Jimbo la Ukonga
Msanii wa HipHop Webiro Wasira 'Wakazi' ameshindwa kuchukua nafasi ya Ubunge ambalo alikuwa anagombea Jimbo la Ukonga kupitia Chama Cha ACT-Wazalendo ambalo limeenda kwa mshindi Jerry William Slaa kutoka Chama Cha Mapinduzi.