Rashford atikisa ligi ya mabingwa Ulaya

Marcus Rashford akipachika moja ya bao kati ya matatu aliyoyafunga dhidi ya RB Leipzig .

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Marcus Rashford alifunga hat trick akitokea benchi wakati mashetani wekundu wakiichapa RB Leipzig kwa bao 5-0 katika mchezo wa kundi H.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS