Mafunzo kazini yanavyosaidia vijana kuimarika
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani (ILO) wamewataka waajiri nchini kuendelea kutoa nafasi na mafunzo katika maeneo ya kazi pamoja na kuanzisha kwa mafunzo ya uanagenzi ili kutengeneza ajira.