Mafunzo kazini yanavyosaidia vijana kuimarika

Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu ATE Dkt.Aggrey Mlimuka 

Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa kushirikiana na Shirika la Kazi Duniani (ILO) wamewataka waajiri nchini kuendelea kutoa nafasi na mafunzo katika maeneo ya kazi pamoja na kuanzisha kwa mafunzo ya uanagenzi ili kutengeneza ajira.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS