Manzese yakumbwa na changamoto ya uzoaji taka Mfano wa magunia yenye takataka Serikali ya Mtaa wa Mwembeni Kata ya Manzese imesema kuwa inakabiliwa na changamoto ya uzoaji taka kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kushindwa kulipia tozo ya taka. Read more about Manzese yakumbwa na changamoto ya uzoaji taka