Wafanyakazi Muhimbili wahimizwa utoaji lugha nzuri

Mkurugenzi wa hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Lawrance Mseru

Mkurugenzi wa hospitali ya Taifa Muhimbili, Prof. Lawrance Mseru, amewataka wafanyakazi wa hospitali hiyo kuwa na lugha mzuri kwa watu wanaowahudumia ili kuleta tija na ufanisi wa kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS