Magufuli amuomba Mungu amsamehe Meya huyu
Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt John Magufuli amemuomba Mungu amsamehe aliyewahi kuwa Meya wa Ilala na baadaye kuhamia, CCM, Omary Kumbilamoto, kwani kipindi yupo CUF alikuwa anafanya hujuma kwenye maendeleo kwa lengo la kutoipa kiki serikali.