Julio amtaja Mkude baada ya Stars kufungwa

Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania, Jonas Mkude katika moja ya mechi ya Taifa Stars.

Kocha wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20, Jamhuri Kikwelu ''Julio'' amesema kutolewa kwa Jonas Mkude kwa kadi nyekundu ndio sababu kubwa iliyopelekea Taifa Stars kufungwa bao 1-0 na Burundi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS