Google yatangaza dili hili kwa watu wa Africa tu Picha ya mtandao wa Google Kampuni ya Google imetangaza kutoa kiasi cha Dola Milioni 1, sawa Tsh Bilioni mbili kwa mtu yeyote kutoka Bara la Africa atakayetoa wazo la kibunifu kuhusu usalama wa matumizi ya internet. Read more about Google yatangaza dili hili kwa watu wa Africa tu