Rais Magufuli amfuta kazi aliyechana Quran
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amemuagiza Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo, kuhakikisha anamuandikia barua ya kumfukuza kazi mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyechana na kuitemea mate Quran Takatifu mkoani Morogoro.