Mwanasheria Mkuu atetea wabakaji wasihasiwe
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dokta Adelardus Kilangi, amesema kuwa adhabu iliyopo juu wabakaji inatosha, kwani katiba ya nchi hairuhusu mtu kuteswa ama kuadhibiwa kinyama au kupewa adhabu zinazomtweza au kumdhalilisha.