Lugola atii agizo
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola, tayari amekwishawasili katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Dodoma, kutii agizo la Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo.