Lugola atii agizo

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola, alivyowasili ofisi za TAKUKURU Dodoma, akiwa na ilani ya CCM.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola, tayari amekwishawasili katika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Dodoma, kutii agizo la Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS