CAG alalamikia mishahara midogo kwa wafanyakazi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema ofisi yake inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwamo mishahara midogo kwa wafanyakazi na kusababisha kupunguza ari ya utendaji kazi.