Salama Jabir atoa tahadhari hii
Mtangazaji maarufu nchini Tanzania Salama Jabir, amesema ujio wa kipindi chake kipya cha SalamaNa, hakitakuwa na watu mastaa peke yao bali mtu yeyote mwenye stori nzuri, pia ametaka shughuli zake zisifananishwe na watu wengine.