Rose Ndauka aeleza alivyotumika kwenye maisha yake
Msanii wa filamu Rose Ndauka, amefunguka na kusema kipindi ambacho ametumika sana kwenye maisha yake ni pale alipokuwa kwenye umri wa ujana na ujinga "Foolish Age" ambapo alikuwa anapenda starehe kupitiliza.