Kwa mkewe,Peter Msechu atangaza kumpiga mtu risasi

Picha ya Peter Msechu akiwa na mke wake Amariss Lauren

Mwanandoa mpya mjini Peter Msechu, amesema hatakuwa na masihara kwa watu watakaoleta mazoea ya kupitiliza kwa mke wake Amariss Lauren, kwa sababu anaweza kumpiga mtu risasi au kumkata shingo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS