Young Dee ajitokeza kuvaa nguo ya kike

Picha ya msanii Young Dee akiwa amevaa vazi la kike

Msanii wa HipHop Young Dee amezua kihoja mitandaoni baada ya kuonekana amevaa  nguo aina ya kimono, vazi ambalo hupendelea kuvaliwa zaidi na wanawake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS