Msuva ashinda tuzo ya Mchezaji bora Simon Msuva akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji bora Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Klabu yake kwa msimu 2019. Read more about Msuva ashinda tuzo ya Mchezaji bora