Mtanzania aliyeshinda taji la urembo la dunia
Mrembo wa dunia kwa watu wenye ulemavu wa kusikia kutokea nchini Tanzania Winifrida Brayson, amesema anamshukuru sana Rais John Pombe Magufuli, na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kumpa sapoti na ushirikiano hadi kumfikisha nchini Urusi ambapo mashindano hayo yalifanyika.