Hamisa Mobetto arusha mawe gizani
Moja kati ya stori ambazo zinazungumziwa kwa sasa katika mitandao ya kijamii hasa wa Instagram, ni msanii Hamisa Mobetto, kujizawadia gari aina ya Land Rover katika 'birthday party' yake iliyofanyika siku ya Disemba 14, 2019 Jijini Dar Es Salaam.