Serikali kuikarabati Shule aliyosoma Mwl. Nyerere Picha ya Darasa alilosoma Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Serikali imeamua kuifanyia ukarabati mkubwa Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alisoma Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere ili iwe sehemu ya historia ya Tanzania. Read more about Serikali kuikarabati Shule aliyosoma Mwl. Nyerere