Prof Jay,Chameleone warudi upya na Q chief
Wapenzi wa muziki wa Afrika Mashariki wanapata burudani ya kipekee kupitia wimbo mpya wenye jina la "Ebenezer", kazi ya pamoja ya magwiji wa muziki kutoka Tanzania na Uganda — Professor Jay na Jose Chameleone, wakiwa wamemshirikisha msanii mkongwe mwenye sauti ya kipekee, Q Chief.