Maambukizi ya MPox yaongezeka Kenya Mamlaka za afya nchini Kenya zimeripoti kuongezeka kwa kasi kwa maambukizi ya ugonjwa wa Mpox katika kaunti ya pwani ya Mombasa, kusini mashariki mwa Kenya Read more about Maambukizi ya MPox yaongezeka Kenya