Bunge la DRC kuamua kuhusu Rais mstaafu Kabila

Bunge la seneti nchini DRC leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23 wanaosaidiwa na Rwanda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS