Julien Chevalier kumrithi Mioud Hamdi Yanga Klabu ya Yanga inahusishwa kuhitaji huduma ya aliyekuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundowns, Romain Folz raia wa Ufaransa kuchukua mikoba ya Hamdi Miloud aliyejiunga na Ismaily SC ya Misri. Read more about Julien Chevalier kumrithi Mioud Hamdi Yanga