Achomwa moto kisa kukojoa kitandani

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia bibi mmoja aliyefahamika kwa jina la Asia Ahmed (52) mkazi wa Kihonda kwa kosa la kumchoma moto mjukuu wake wa miaka 5 kwa kutumia upawa katika sehemu za siri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS