Waziri Mkuu atoa agizo kuhusu maeneo ya michezo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza halmashauri zote za majiji na miji, zihakikishe kuwa kuanzia sasa zinatenga maeneo ya michezo na burudani kila zinapopima viwanja. Read more about Waziri Mkuu atoa agizo kuhusu maeneo ya michezo