Viongozi wa umma Arusha, DSM kuchunguzwa

Sekretrieti ya maadili ya viongozi wa umma nchini Tanzania inatarajia kuanza kuwachunguza viongozi wa umma kutoka mikoa 12 juu ya madai ya mgongano wa maslahi kwenye utekelezaji wa majukumu yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS